Select Page
Profile Photo

Society

  • Public Group
  • 1 year, 5 months ago
  • 10

    Posts

  • 1

    Members

Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango

last updated by Joram 1 year, 8 months ago
1 voice
2 replies
  • Author
    Posts
  • #3853
    Joram
    ADMINSTRATOR

      Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango amezitaka Mamlaka za Maji pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kuongeza weledi katika usimamizi wa rasilimali za maji kwa kujenga miundombinu mingi zaidi ya kutunza maji na kuvuna maji ya mvua kukabiliana na changamoto za maji zinazojitokeza.

      changamoto za maji

      changamoto za maji

      changamoto za maji

      changamoto za maji

      #3859
      Joram
      ADMINSTRATOR

        Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga

        Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Dkt. Yahaya Nawanda wakati akikagua maendeleo ya Ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga baada ya kuweka jiwe la msingi katika hospitali hiyo.

        Hospitali ya Rufaa

        Hospitali ya Rufaa

        Hospitali ya Rufaa

        Hospitali ya Rufaa

        #3860
        Joram
        ADMINSTRATOR

          Mwenyekiti wa UWT TAIFA

          Mwenyekiti wa UWT TAIFA Ndugu Mary Chatanda na Makamu Mwenyekiti Ndugu Zainabu Shomari wamepokelewa kwa kishindo kikubwa , Ukumbi umefurika.

          UWT TAIFA

          UWT TAIFA

          UWT TAIFA

        You must be logged in to reply to this topic.

        Spread the love