Forum Replies Created
-
AuthorPosts
-
Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kugharamia utekelezaji wa miradi ya kimkakati ili kuhakikisha inakamilika na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa wa taifa.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo Januari 18, 2023 ameweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa kutoka Tabora hadi Isaka (165km).
Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Uongozi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa bodi Balozi Tuvako Manongi.
Akiambatana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Dk. Ellen Senkoro pamoja na Wafanyakazi wa taasisi hiyo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Gavana mpya wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bank of Tanzania Emmanuel Mpawe Tutuba.
Aliambatana na Waziri Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Uchumi Dkt. Saada Salum, Gavana Mstaafu Prof. Florens Luoga na Wafanyakazi kutoka Matawi ya BOT Zanzibar na Bara. Leo Jumatano, 18 Januari 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika ukumbi wa The People Great Hall pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakati akikagua Gwaride la Heshima katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na ujumbe wake kwenye mazungumzo ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakishuhudia wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki .
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Kabingo-Nyakanazi km 50 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika hafla fupi iliyofanyika Kakonko Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022.
-
AuthorPosts