-
Joram replied to the topic Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania in the forum Real life
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Kabingo-Nyakanazi km 50 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika hafla fupi iliyofanyika Kakonko Mkoani Kigoma tarehe 16…Read More
-
Joram replied to the topic Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania in the forum Real life
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili.

-
Joram replied to the topic Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania in the forum Real life
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku 2 Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.





-
Joram changed their profile picture
Media
Photos
Videos
Audios
Files
Sorry, no items found.
Groups
Society
Public Group
Tourism industry
Public Group
Recent Posts

THE PRIDE OF WOLAYTA: THE HEROIC BOXER BETEL WOLDE
- 11 April 2024

THE PEACEFUL CELEBRATION OF EID HOLIDAY IN HARAR CITY
- 10 April 2024






