-
AuthorPosts
-
10 September 2022 at 14:56 #1352
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.
Samia Suluhu Hassan akipewa Tuzo ya Heshima ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.
10 October 2022 at 14:23 #192913 October 2022 at 09:13 #195916 October 2022 at 16:03 #2024ufunguzi wa barabara ya Kabingo-Nyakanazi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Kabingo-Nyakanazi km 50 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika hafla fupi iliyofanyika Kakonko Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022.
16 October 2022 at 20:33 #20252 November 2022 at 15:59 #23613 November 2022 at 13:57 #2435Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika ukumbi wa The People Great Hall pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakati akikagua Gwaride la Heshima katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na ujumbe wake kwenye mazungumzo ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakishuhudia wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki .
19 January 2023 at 17:31 #3852 -
AuthorPosts
You must be logged in to reply to this topic.