Select Page
last updated by Joram 1 year, 8 months ago
1 voice
5 replies
  • Author
    Posts
  • #3639
    Joram
    ADMINSTRATOR

      Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi leo amekutana na Viongozi wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Ikulu Zanzibar. Uongozi wa Jumuiya hiyo uliongozwa na Mwenyekiti wa UWT Taifa Ndugu Mary Chatanda, Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa aliyeambatana na Makamu Mwenyekiti UWT Zanzibar Ndugu Zainab Shomari, Viongozi mbalimbali wa kitaifa wa Jumuiya hiyo kwa nia ya kujitambulisha baada ya kuchaguliwa.

      CCM Zanzibar

      CCM Zanzibar

      CCM Zanzibar

      CCM ZanzibarPia wamempongeza Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti CCM Zanzibar na Kutekeleza Ilani ya CCM ya Utekelezaji 2020 – 2025. Leo Jumatatu, 16 Januari 2023. Ikulu, Zanzibar.

      #3646
      Joram
      ADMINSTRATOR

        Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)

        Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Suluhu Samia ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe 14, Januari , 2023 Ikulu Jijini Dar Es Salaam.

        Chama Cha Mapinduzi (CCM)

        Chama Cha Mapinduzi (CCM)

        Chama Cha Mapinduzi (CCM)

        Chama Cha Mapinduzi (CCM)

        #3848
        Joram
        ADMINSTRATOR

          Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi

          Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Gavana mpya wa Benki Kuu ya Tanzania (BOT) Bank of Tanzania Emmanuel Mpawe Tutuba.BOT Zanzibar

          BOT Zanzibar

          BOT Zanzibar

          BOT Zanzibar

          BOT ZanzibarAliambatana na Waziri Nchi Ofisi ya Rais, Fedha na Uchumi Dkt. Saada Salum, Gavana Mstaafu Prof. Florens Luoga na Wafanyakazi kutoka Matawi ya BOT Zanzibar na Bara. Leo Jumatano, 18 Januari 2023.

          #3849
          Joram
          ADMINSTRATOR

            Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation

            Msarifu wa Taasisi ya Benjamin Mkapa Foundation, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, amekutana na Uongozi wa Taasisi ya Benjamin William Mkapa Foundation ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa bodi Balozi Tuvako Manongi.

            Benjamin Mkapa Foundation

            Benjamin Mkapa Foundation

            Benjamin Mkapa Foundation

            Benjamin Mkapa Foundation

            Benjamin Mkapa FoundationAkiambatana na Afisa Mtendaji Mkuu wa Taasisi hiyo Dk. Ellen Senkoro pamoja na Wafanyakazi wa taasisi hiyo. 

            #3850
            Joram
            ADMINSTRATOR

              Ujenzi wa Reli ya Kisasa kutoka Tabora hadi Isaka

              Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, itaendelea kugharamia utekelezaji wa miradi ya kimkakati ili kuhakikisha inakamilika na kuchangia katika ukuaji wa uchumi wa wa taifa.

              Makamu wa Rais

              Makamu wa Rais

              Makamu wa Rais

              Makamu wa Rais

              Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango leo Januari 18, 2023 ameweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa Reli ya Kisasa kutoka Tabora hadi Isaka (165km).

              Ujenzi wa Reli ya Kisasa

              Ujenzi wa Reli ya Kisasa

              Ujenzi wa Reli ya Kisasa

              Ujenzi wa Reli ya Kisasa

              #3851
              Joram
              ADMINSTRATOR

                Halmashauri za Mkoa wa Singida

                Halmashauri za Mkoa wa Singida wameshauriwa kufanya makisio sahihi ya mapato ya ndani ya Halmashauri pamoja na kuimarisha ushirikishwaji wa Wakuu wa Idara katika ukusanyaji wa mapato ya ndani hatua itakayopelekea ongezeko la mapato na kuondokana na utegemezi toka Serikali Kuu.

                Singida

                Singida

                Singida

                Singida

              You must be logged in to reply to this topic.