Select Page
1 voice
7 replies
  • Author
    Posts
  • #1352
    Joram
    ADMINSTRATOR

      TanzaniaRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe.

      Tanzania

      TanzaniaSamia Suluhu Hassan akipewa Tuzo ya Heshima ya Chuo cha Taifa cha Ulinzi Tanzania (NDC) na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena Tax kwenye maadhimisho ya miaka 10 ya Chuo hicho yaliyofanyika Kunduchi Jijini Dar es Salaam tarehe 08 Septemba, 2022.

      #1929
      Joram
      ADMINSTRATOR

        William Samoei Ruto Rais wa Jamhuri ya Kenya

        Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Samoei Ruto mara baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi ya siku 2 Jijini Dar es Salaam tarehe 10 Oktoba, 2022.

        William Samoei Ruto

        William Samoei Ruto

        William Samoei Ruto

        William Samoei Ruto

        William Samoei Ruto

        #1959
        Joram
        ADMINSTRATOR

          katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mkoani Kagera

          Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mkoani Kagera kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili.

          katika Uwanja wa Ndege

          #2024
          Joram
          ADMINSTRATOR

            ufunguzi wa barabara ya Kabingo-Nyakanazi

            Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Mhe. Profesa Makame Mbarawa pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuashiria ufunguzi wa barabara ya Kabingo-Nyakanazi km 50 iliyokamilika kujengwa kwa kiwango cha lami katika hafla fupi iliyofanyika Kakonko Mkoani Kigoma tarehe 16 Oktoba, 2022.

            ufunguzi wa barabara

            #2025
            Joram
            ADMINSTRATOR

              Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi

              Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Wilaya ya Kibondo wakiwa kwenye uwanja wa mkutano kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan wakati akiwahutubia tarehe 16 Oktoba, 2022.

              Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi

              Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi

              Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi

              Viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi

              #2361
              Joram
              ADMINSTRATOR

                Samia Suluhu Hassan yuko nchini China

                Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Peking, Beijing nchini China kwa ajili ya ziara ya Kiserikali tarehe 02 Novemba, 2022

                Suluhu Hassan yuko nchini China

                #2435
                Joram
                ADMINSTRATOR

                  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.

                  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.

                  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika ukumbi wa The People Great Hall pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.

                  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.

                  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakati akikagua Gwaride la Heshima katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.

                  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na ujumbe wake kwenye mazungumzo ya pamoja na Mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022

                  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa The People Great Hall, Beijing nchini China tarehe 03, Novemba, 2022.

                  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Xi Jinping wakishuhudia wakati Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki .

                  #3852
                  Joram
                  ADMINSTRATOR

                    Biashara kati ya Tanzania na India

                    Biashara kati ya Tanzania na India inatarajiwa kufika $6B mwaka 2023. Hii inatokana na kufunguliwa kwa masoko ya bidhaaa za kilimo ikiwepo parachichi, na nafaka mbalimbali.

                    Biashara kati ya Tanzania na India

                    Biashara kati ya Tanzania na India

                    Biashara kati ya Tanzania na India

                    Biashara kati ya Tanzania na India

                  You must be logged in to reply to this topic.